Gharama

Bronze
Bure ndani ya miezi Sita kutumia outLink
Taarifa zako za Kilimo kuunganishwa na Benki ili kupata Mkopo.
Tuma picha ya mmea ulio athirika ili kugundua ugonjwa wa mmea.
Utaanza kulipia TZ shiling 500 kwa mwezi pale hifadhi yako itakapo kuwa 500MB.
Utalipia kulipia TZ shiling 500 kwa mwezi pale utakapo tuma zaidi ya picha tano (5).
Hakuna ukomo wa Ekari katika kuhifadhi tarifa za shamba lako.
Hakuna ukomo wa kuhifadhi taarifa za Watu wanao hudumia Shamba lako.
Hifadhi Ramani za shamba lako ili kurahisisha uduma.
Tumia mfumo kupanga majukumu.
Hifadhi taarifa za Mazao, Mifugo, na Vifaa.
Pata huduma ya Uchunguzi wa Udongo.
Tumia mfumo kutengeneza ripoti mbali mbali (CSV).
Taarifa zako ni Siri kwaajili ya matumizi yako binafsi.
Pata huduma mda wowote.
Silver
Shiling 174,000 kwa Mwaka
Hakuna ukomo wa kutuma picha ya mmea ulio athirika ili kugundua ugonjwa wa mmea.
Kupewa kipaumbele kutoka kwa wataalam wa kilimo.
Pata ushauri mbalimbali ili kurekebisha na kuboresha kilimo biashara.
Pata huduma ya kukagua shinikizo la wadudu na magonjwa.
Ufuatiliaji wa mazao na kuboresha ufanisi.
Kuboresha na kulinda afya bora ya udongo.
Utambuzi wa ugonjwa, magugu na wadudu wengine.
Ushauri juu ya kuchagua bidhaa sahihi ya kinga ya mazao.
Ziara nne mpaka sita kwa shamba .
Utaanza kulipia garama ya ziada ya shiling 500 kwa mwezi pale hifadhi yako itakapo kuwa 500MB.
Tovuti ya bure: https://jinalashamba.outreachtraders.com
Hakuna ukomo wa kutuma picha picha tano.
Hakuna ukomo wa Ekari katika kuhifadhi tarifa za shamba lako.
Hakuna ukomo wa kuhifadhi taarifa za Watu wanao hudumia Shamba lako.
Hifadhi Ramani za shamba lako ili kurahisisha uduma.
Tumia mfumo kupanga majukumu.
Hifadhi taarifa za Mazao, Mifugo, na Vifaa.
Pata huduma ya Uchunguzi wa Udongo.
Tumia mfumo kutengeneza ripoti mbali mbali (CSV).
Taarifa zako ni Siri kwaajili ya matumizi yako binafsi.
Pata huduma mda wowote.
Hifadhi taarifa otomatiki
Gold
Wasiliana upate huduma hii
Chagua hii huduma kulingana na mahitaji yako.
Chagua hii huduma kulingana na bajeti yako
Pata tovuti binafsi
Boresha tovuti kulingana na mahitaji
Kutengeneza ripoti
Pata huduma wakati wowote
Unganishwa na Benki ili kupata Mkopo na kuboresha kilimo
Tunaweza kufanya kazi kwa karibu na wewe ili kukupatia suluhisho kulingana na mahitaji yako.


Tunafanya kazi na wakulima, asasi za wakulima, na Serikali kwa maendeleo endelevu.

Pata hudum kutoka kwa Wataalam wa dawa za wadudu / wadudu.
Tengeneza Ramani ya shamba lako ili ufikiwe na huduma

%d bloggers like this: