ESET Antivirus/Internet Security

Popote pale ulipo Nchini Tanzania wasiliana nasi ujipate ESET Antivirus/Internet Security.

       

ESET Internet Security: 30,000Tsh/2 Users/Year – 40,000Tsh/4 Users/Year
ESET Antivirus: 25,000Tsh/2 Users/Year – 35,000Tsh/4 Users/Year

You don’t have the budget yet! No worries Click the link above to Download and Install the free 30-day trial

ESET Antivirus/Internet Security itakinga Computer, Sim na taarifa zako dhidi ya Mashambulizi wakati unapokuwa katika Mtandao “Internet” na pia na pia unapotumia vifaa (“flash disk”) au program “Bluetooth” mbalimbali zinazounganishwa katika Computer yako wakati wa kuhamisha taarifa.

ESET Internet Security inakuhakikisha usalama mtandaoni unapo fanya malipo, tumia nenosiri “password”, weka taarifa binafsi kwenye Sim, Computer au akaunti mbalimbali kama Mitandao ya kijamii nk. Wahalifu mtandaoni hutumia mbinu mbali mbali kuiba fedha, kuingilia akaunti mbali mbai za watu, kusoma taarifa za watu katika simu, Computer n.k bila kuwa na ESET Internet Security hautokuwa salama.

Kinga kifaachako dhidi ya Virus, Wizi pale kifaa kinapoibiwa au kupotea, linda “application “mbali mbalii kamavile Instagram, Twitter n.k zisiingiliwe “hacked”, linda kifaachako na taarifa zako dhidi ya waahalifu mtandaoni. Program hii itasaidia kupatikana kwa Sim/Computer yako pale itakapo potea au kuibiwa na pia itakinga akaunti yzako mbali mbali zisiweze kuingiliwa na wahalifu.

%d bloggers like this: