Umuhimu wa mazoezi ya YOGA katika kupunguza unene

y

Wanawake waliojaribu yoga kwa wiki 16 walipungua kwa kiasi kubwa katika utafiti mmoja wa 2012. Zoezi lolote la kupumzika (hata zoezi rahisi la kupumua sana- ‘deep breathing’) linaweza kusaidia. Kitu muhimu ni kupunguza kiwango cha ‘cortisol’ hii ni ‘stress’ homoni, ambayo inahusishwa na mafuta ya tumbo.

%d bloggers like this: