Tabia za usingizi na ongezeko la unene

sleeep

Kulala muda wa saa tano au chini kwa usiku huongeza viwango vya mafuta, kulingana na utafiti wa Chuo Kikuu cha Wake Wake 2010. Kama unavyojua tayari, masaa nane ni bora.

Usilale mdamrefu siku za ‘weekend’ Wanawake ambao wanaamka na kulala wakati huo huo kila jioni wana kiwango cha chini cha mafuta ya mwili, kulingana na utafiti wa hivi karibuni wa Chuo Kikuu cha Brigham Young. Tabia za usingizi husababisha mwili wako uhifadhi homoni za kuhifadhi mafuta kama “cortisol”.

%d bloggers like this: