Umuhimu wa protini

 

Umuhimu wa protini

pro

Je unajua kuwa protini ni muhimu?

Ni kwanini protini inahitajika “Mwili wako huanza kuzalisha Insulin zaidi kadri umri unavyo ongezeka,” anaelezea Dakitari Louis Aronne, mkurugenzi wa kliniki ya Fetma katika Chuo kikuu cha Cornell. Insulini inakuza uhifadhi wa mafuta hasa karibu na tumbo lako na protini inaweza kukukinga dhidi ya Insulini, anasema Aronne

%d bloggers like this: