Kamwe usiache vitu vitatu Kukimbia au Kutembea.

Kimbia kute

Mtu mzima anapaswa kupata dakika 30 za mazoezi ya kutembea kwa haraka, siku tano kwa wiki au dakika 150 kila wiki.

Baada ya kutembea kwa kasi kwa muda wa dakika 30 hadi 45, mwili wako unachochea kuchomwa kwa sukari (glycogen) iliyo hifadhiwa katika mwili na kuchoma mafuta pia.

 

%d bloggers like this: